Translations:J3.x:Upgrading from Joomla 3.4.x to 3.5/5/sw From Joomla! Documentation Ingia ndani ya paneli yako ya Msimamizi wa Joomla!, nenda kwa Kiendelezo → Simamia → Hifadhidata na chagua kibonyezo Rekebisha cha juu kushoto.