Module Position/sw: Difference between revisions

From Joomla! Documentation

Importing a new version from external source
 
FuzzyBot (talk | contribs)
Updating to match new version of source page
 
(6 intermediate revisions by one other user not shown)
Line 1: Line 1:
<noinclude><languages /></noinclude>
<noinclude><languages /></noinclude>
{{Chunk:Module Position/en}}
{{Chunk:Module Position/sw|Nafasi ya Moduli}}
__TOC__
__TOC__
==Understanding Module Positions==
==Kuelewa nafasi ya moduli==
Joomla! Users and Administrators need to only understand the following:
Watumiaji na wasimamizi wa Joomla! wanatakiwa kuelewa yafuatayo pekee:
*Modules are set positions dictated by the [[template]] developer when they developed the template.
*Mamoduli ni nafasi zilizostawi ambazo zinatowa amuru na mwendelezaji wa [[S.MyLanguage/template|templeti]] wakati wa kuendeleza templeti.
*Modules can be turned on and off based on menu selection.
*Mamoduli yanaweza kuwashwa na kuzimwa yanatokana na chaguo la menyu.
*Modules can be reordered in their assigned position using the Module Manager.
*Mamoduli yanaweza kupangwa tena katika nafasi zao kwa kutumia Meneja wa Moduli.


===Visualization===
===Namna ya kuweza kuonyesha===
It's possible to visualize all modules set on a template by calling the <code>"tp=1"</code> query string on the front-end.
Itawezekana kuonyesha mamoduli yote yaliowekwa katika templeti kwa kuitwa sharti ya swali <code>"tp=1"</code> katika upande wa mbele.
<pre>
<pre>
http://www.example.com/index.php?tp=1
http://www.example.com/index.php?tp=1
</pre>
</pre>


'''Joomla 2.5''' {{JVer|2.5}} and '''Joomla 3.x''' {{JVer|3.x}} will show the template positions with ?tp=1 or &tp=1 if the '''Preview Module Positions mode''' in the Template Manager has been '''Enabled''':  
<div class="mw-translate-fuzzy">
*{{rarr|Extensions,Template Manager}} then click the Options button in the toolbar.  
'''Joomla 2.5''' {{JVer|2.5}} na '''Joomla 3.x''' {{JVer|3.x}} yataonyesha nafasi za moduli ikiwa kuna ?tp=1 au &tp=1 na ikiwa '''jinsi ya Kutazama Nafasi za Moduli''' '''iliowekwa''' katika Meneja wa Templeti:  
*Under the '''Templates Tab''', make sure <u>''Preview Module Positions''</u> is set to '''Enabled'''.
*{{rarr|Viendelezo, Meneja wa Templeti}} na tena bofya kibonyezo cha Machaguo katika upauzana.  
*Juu ya tabi ya '''Templeti''', hakikisha kuwa <u>''Tazama Nafasi za Moduli''</u> imewekwa kwa '''Imewezeshwa'''.
</div>


==Module Map==
==Ramani za moduli==
The image below shows an example of a module map when module mapping is enabled in template administration.
Picha hapo chini onyesha mfano wa ramani za moduli ikiwa kuramanisha imewezeshwa katika templeti ya msimamizi.
:[[Image:Module_Map.jpg|600px|Module positions in a default Joomla! 1.5 template]]
:[[Image:Module_Map.jpg|600px|Nafasi za mamoduli katika templeti ya difoti ya Joomla! 1.5]]


<noinclude>[[Category:Templates]]
<noinclude>[[Category:Templates/sw|Templeti]]
[[Category:Modules]]
[[Category:Modules/sw|Moduli]]
</noinclude>
</noinclude>

Latest revision as of 20:50, 29 August 2021

Nafasi ya moduli ni mashiko ya kusubiri (placeholder) ndani ya templeti. Itakumbuka nafasi moya au nyingi ndani ya templeti na itamwambia maobmi ya Joomla! wapi kuweka pato kutoka kwa modli zilizopeanwa kwa nafasi maalum. Mchoraji wa templeti ako na uwezo wote juu ya nafasi za moduli. Hii itaongoza kwa aina tofauti za templeti, na nafasi ya difoti za Joomla! zilizopeanwa kwa moduli ndani ya data za mfano wa kusakinisha.

Kwa mfano, nafasi ya moduli "Kushoto" itakufafanulia kuwa upande wa kushoto wa templeti kwa kuonyesha menyu ya uramazaji wa wavuti. Hii inamanisha ikiwa moduli iliopeanwa kwa nafasi ya "Kushoto" itaonyeshwa popote mchoraji atakapo iweka hii nafasi ya moduli a "Kushoto" - si lazima kuwa upande wa kushoto wa ukurasa.

Kuelewa nafasi ya moduli

Watumiaji na wasimamizi wa Joomla! wanatakiwa kuelewa yafuatayo pekee:

  • Mamoduli ni nafasi zilizostawi ambazo zinatowa amuru na mwendelezaji wa templeti wakati wa kuendeleza templeti.
  • Mamoduli yanaweza kuwashwa na kuzimwa yanatokana na chaguo la menyu.
  • Mamoduli yanaweza kupangwa tena katika nafasi zao kwa kutumia Meneja wa Moduli.

Namna ya kuweza kuonyesha

Itawezekana kuonyesha mamoduli yote yaliowekwa katika templeti kwa kuitwa sharti ya swali "tp=1" katika upande wa mbele.

http://www.example.com/index.php?tp=1

Joomla 2.5 Joomla 2.5 na Joomla 3.x Joomla 3.x yataonyesha nafasi za moduli ikiwa kuna ?tp=1 au &tp=1 na ikiwa jinsi ya Kutazama Nafasi za Moduli iliowekwa katika Meneja wa Templeti:

  • Viendelezo  Meneja wa Templeti na tena bofya kibonyezo cha Machaguo katika upauzana.
  • Juu ya tabi ya Templeti, hakikisha kuwa Tazama Nafasi za Moduli imewekwa kwa Imewezeshwa.

Ramani za moduli

Picha hapo chini onyesha mfano wa ramani za moduli ikiwa kuramanisha imewezeshwa katika templeti ya msimamizi.

Nafasi za mamoduli katika templeti ya difoti ya Joomla! 1.5