Upgrading from Joomla 3.4.x to 3.5/sw: Difference between revisions
From Joomla! Documentation
Created page with "#Ndani ya sehemu ya Simamia, nenda kwa kitu cha menyu ''Gundua'' katika menyu ya kushoto na bofya kibonyezo cha '''Gundua'''. Sakinisha kiendelezo chochote cha Joomla! kilicho..." |
Created page with "#Katika menyu kuu ya paneli yako ya msimamizi, nenda kwa '''Mfumo'''{{rarr}}'''Safisha kashe''' na kama kuna laini yoyote ilioonyeshwa, zichague na bofya kibonyezo cha '''Futa..." |
||
| Line 16: | Line 16: | ||
#Ingia ndani ya paneli yako ya Msimamizi wa Joomla!, nenda kwa '''Kiendelezo'''{{rarr}}'''Simamia'''{{rarr}}'''Hifadhidata''' na chagua kibonyezo '''Rekebisha''' cha juu kushoto. | #Ingia ndani ya paneli yako ya Msimamizi wa Joomla!, nenda kwa '''Kiendelezo'''{{rarr}}'''Simamia'''{{rarr}}'''Hifadhidata''' na chagua kibonyezo '''Rekebisha''' cha juu kushoto. | ||
#Ndani ya sehemu ya Simamia, nenda kwa kitu cha menyu ''Gundua'' katika menyu ya kushoto na bofya kibonyezo cha '''Gundua'''. Sakinisha kiendelezo chochote cha Joomla! kilichoonyeshwa katika orodha kwa kubofya kibonyezo cha '''Sakinisha'''. | #Ndani ya sehemu ya Simamia, nenda kwa kitu cha menyu ''Gundua'' katika menyu ya kushoto na bofya kibonyezo cha '''Gundua'''. Sakinisha kiendelezo chochote cha Joomla! kilichoonyeshwa katika orodha kwa kubofya kibonyezo cha '''Sakinisha'''. | ||
# | #Katika menyu kuu ya paneli yako ya msimamizi, nenda kwa '''Mfumo'''{{rarr}}'''Safisha kashe''' na kama kuna laini yoyote ilioonyeshwa, zichague na bofya kibonyezo cha '''Futa''' juu kushoto. | ||
<noinclude> | <noinclude> | ||
Revision as of 19:25, 14 March 2016
MUHIMU! Hauwezi kusasisha 3.4.x kwa 3.5 kwa kupitia njia ya Meneja wa Viendelezo.
Inakupasa usasishe kwa kupitia komponenti ya Usasishaji wa Joomla! (Joomla! Update) au kwa mkono kama inavyokueleza hapo chini.
Inakupasa usasishe kwa kupitia komponenti ya Usasishaji wa Joomla! (Joomla! Update) au kwa mkono kama inavyokueleza hapo chini.
Kabla ya kusasisha, kila mara akibisha wovuti wako na usisahau kuujaribu.
Joomla!
3.x
Kusasisha kwa kutumia komponenti ya Usasishaji wa Joomla! (Joomla! Update)
Njia ya kawaida ya usasishaji kwa usakinishaji wako wa Joomla! ni kutumia komponenti ya Usasishaji wa Joomla! na pia kutumia chaguo la "Rekebisha Hifadhidata" kama hivi: Kiendelezo → Simamia → Hifadhidata → kibonyezo Rekebisha cha juu kushoto.
Ikiwa hujuwi kutumia komponenti ya Usasishaji wa Joomla! tafadhali angalia: Komponenti ya Usasishaji wa Joomla!.
Kusasisha ikiwa huwezi kutumia komponenti ya Usasishaji wa Joomla! (Joomla! Update)
Ikiwa huwezi kusasisha Usakinishaji wako wa Joomla! kwa njia ya kawaida kwa sababu ya kiwango cha seva yako au matatizo ya maunganishaji yako, itakubidi ufuate hatua hizi:
- Shusha paketi ya kusasisha kutoka kwa (link)
- Mbinu A (Ikiwa hauna uwezo wa kupakua nyaraka katika seva, tafadhali angalia mbinu B)
- Nakili paketi ya kusasisha katika saraka ya enzi ya wovuti wako na kuipakua. Kumbuka kuwa inakupasa ueleze mfumo kubadilisha mafaili yaliopo. Kwa mfano katika GoDaddy.com, tumia meneja wa mafaili ya FTP kwa kupakia faili ya kusasisha na pia kutumia "Unarchive" kwa kuipakua. Chagua kijisanduku cha "Andika juu ya mafaili yaliopo".
- Mbinu BIkiwa hauna uwezo wa kupakua nyaraka katika seva (mbinu A), tafadhali tumia mbinu hizi:
- Pakua paketi ilioshushwa katika kompyuta yako
- Tumia programu ya FTP ya mapendeleo yako kwa kupakia mafolda na mafaili katika enzi ya wovuti au katika folda ambapo usakinishaji wako wa Joomla! uko. (KUMBUKA: Ikiwa unatumia Filezilla, bofya "Kubadilisha (Replace)" kwa kila kitu; ikiwa unatumia WinSCP, bofya kwa kupakia na pia ruhusu kuandika juu ya kila kitu. Programu ya FTP itaandika juu ya mafaili yalioko na kuongeza mafaili mapya.)
- Ingia ndani ya paneli yako ya Msimamizi wa Joomla!, nenda kwa Kiendelezo → Simamia → Hifadhidata na chagua kibonyezo Rekebisha cha juu kushoto.
- Ndani ya sehemu ya Simamia, nenda kwa kitu cha menyu Gundua katika menyu ya kushoto na bofya kibonyezo cha Gundua. Sakinisha kiendelezo chochote cha Joomla! kilichoonyeshwa katika orodha kwa kubofya kibonyezo cha Sakinisha.
- Katika menyu kuu ya paneli yako ya msimamizi, nenda kwa Mfumo → Safisha kashe na kama kuna laini yoyote ilioonyeshwa, zichague na bofya kibonyezo cha Futa juu kushoto.