Chunk

Extension/sw: Difference between revisions

From Joomla! Documentation

FuzzyBot (talk | contribs)
Updating to match new version of source page
FuzzyBot (talk | contribs)
Updating to match new version of source page
 
Line 2: Line 2:
Kiendelezo ni paketi ya programu ambayo itakupanulia usakinishaji wako wa Joomla! kwa namna fulani. Chaguo dogo la viendelezo ni pamoja na difoti ya usakinisaji wa Joomla! – lakini pia mengi zaidi yanapatikana kutoka kwa [http://extensions.joomla.org Saraka ya Viendelezo vya Joomla!].
Kiendelezo ni paketi ya programu ambayo itakupanulia usakinishaji wako wa Joomla! kwa namna fulani. Chaguo dogo la viendelezo ni pamoja na difoti ya usakinisaji wa Joomla! – lakini pia mengi zaidi yanapatikana kutoka kwa [http://extensions.joomla.org Saraka ya Viendelezo vya Joomla!].


The term ''extension'' is generic and the following specific extension types are available:
<div class="mw-translate-fuzzy">
* [[Component]] (since {{JVer|1.0}}) &ndash; adds custom functions to your site that can be selected from menus
Usemi wa ''kiendelezo'' ni halali, na aina maalum zifuatazo za viendelezo vitapatikana (kwa mpangilio wa kiherufi):
* [[Language]] (since {{JVer|1.0}}) &ndash; defines an additional language for your site
* [[S:MyLanguage/Component|Komponenti]] (tangu {{JVer|1.0}}) &ndash; ongeza kazi kwa kidesturi kwa wavuti wako ambayo itaweza kuchaguliwa kutoka kwa menyu
* [[Library]] (since {{JVer|2.5}}) &ndash; provides functions to be used by other extensions
* [[S:MyLanguage/Language|Lugha]] (tangu {{JVer|1.0}}) &ndash; itafafanua maongezo ya lugha kwa wavuti wako
* [[Module]] (since {{JVer|1.0}}) &ndash; shows nonessential data in a side box, possibly on multiple pages
* [[S:MyLanguage/Library|Maktaba]] (tangu {{JVer|2.5}}) &ndash; itatoa kazi ambayo itaweza kutumika na viendelezo vingine
* [[Package]] (since {{JVer|2.5}}) &ndash; bundles related extensions
* [[S:MyLanguage/Module|Moduli]] (tangu {{JVer|1.0}}) &ndash; itaonyesha data ambazo simuhimu katika kisanduku cha kando, inawezekana katika kurasa nyingi
* [[Plugin]] (since {{JVer|1.5}}) &ndash; modifies content in articles or provides functions to extend other extensions
* [[S:MyLanguage/Package|Paketi]] (tangu {{JVer|2.5}}) &ndash; itafunga viendelezo vinavyohusiana
* [[Template]] (since {{JVer|1.0}}) &ndash; define the look, feel, and navigation capabilities of your site
* [[S:MyLanguage/Plugin|Plugin]] (tangu {{JVer|1.5}}) &ndash; itageuza yaliyomo katika makala au itapeana upanuzi wa kazi ya viendelezo vingine
* [[S:MyLanguage/Template|Templeti]] (tangu {{JVer|1.0}}) &ndash; itafafanua mtazamo, wakuhisi, na uwezo wa urambazaji wa wavuti wako
</div>


Kwa muhtasari zaidi wa aina ya viendelezo muhimu na kazi namna vinavyopeana, angalia [[S:MyLanguage/Extension types (general definitions)|Aina ya Viendelezo (Mafafanuo ya Ujumla)]].<noinclude>[[Category:Glossary definitions/sw|{{PAGENAME}}]]</noinclude>
Kwa muhtasari zaidi wa aina ya viendelezo muhimu na kazi namna vinavyopeana, angalia [[S:MyLanguage/Extension types (general definitions)|Aina ya Viendelezo (Mafafanuo ya Ujumla)]].<noinclude>[[Category:Glossary definitions/sw|{{PAGENAME}}]]</noinclude>

Latest revision as of 09:16, 1 April 2020

Kiendelezo ni paketi ya programu ambayo itakupanulia usakinishaji wako wa Joomla! kwa namna fulani. Chaguo dogo la viendelezo ni pamoja na difoti ya usakinisaji wa Joomla! – lakini pia mengi zaidi yanapatikana kutoka kwa Saraka ya Viendelezo vya Joomla!.

Usemi wa kiendelezo ni halali, na aina maalum zifuatazo za viendelezo vitapatikana (kwa mpangilio wa kiherufi):

  • Komponenti (tangu Joomla 1.0) – ongeza kazi kwa kidesturi kwa wavuti wako ambayo itaweza kuchaguliwa kutoka kwa menyu
  • Lugha (tangu Joomla 1.0) – itafafanua maongezo ya lugha kwa wavuti wako
  • Maktaba (tangu Joomla 2.5) – itatoa kazi ambayo itaweza kutumika na viendelezo vingine
  • Moduli (tangu Joomla 1.0) – itaonyesha data ambazo simuhimu katika kisanduku cha kando, inawezekana katika kurasa nyingi
  • Paketi (tangu Joomla 2.5) – itafunga viendelezo vinavyohusiana
  • Plugin (tangu Joomla 1.5) – itageuza yaliyomo katika makala au itapeana upanuzi wa kazi ya viendelezo vingine
  • Templeti (tangu Joomla 1.0) – itafafanua mtazamo, wakuhisi, na uwezo wa urambazaji wa wavuti wako

Kwa muhtasari zaidi wa aina ya viendelezo muhimu na kazi namna vinavyopeana, angalia Aina ya Viendelezo (Mafafanuo ya Ujumla).