Translations:JDOC:Translation Sandbox/12/sw
From Joomla! Documentation
Ulandishaji na Usimamizi wa Feed za Habari - Katika Joomla, ni rahisi kulandisha yaliomo ya wavuti wako. Hii itarahishisha watumiaji wako kujiandikisha kwa yaliomo mapya katika usomaji utakaopendelea wa RSS.