Search Engine Friendly URLs/sw: Difference between revisions
From Joomla! Documentation
Importing a new version from external source |
No edit summary |
||
| (19 intermediate revisions by the same user not shown) | |||
| Line 1: | Line 1: | ||
URL Unaofaa kwa Mashini ya Kutafuta (SEF URLs) ni neno la kawaida lililo fupishwa kama SEF URL au SEF kiufupi. Kawaida ni URL wa Joomla! utaonekana kama hivi: | |||
<pre><nowiki>http://www. | <pre><nowiki>http://www.wavutiwako.org/index.php?option=com_content&view=section&id=3&Itemid=41</nowiki></pre> | ||
Unaweza kuhariri na URL na kuonyesha kurasa ya HTML ya tuli kama hivi: | |||
<pre><nowiki>http://www. | <pre><nowiki>http://www.wavutiwako.org/faq.html</nowiki></pre> | ||
Tangu Joomla! 1.5, kuna mijengo katika uchaguzi kwa kuzalisha SEF URL. Haya yataweza kuwezesha kwa kubadilisha "Matayarisho ya SEO " (Search Engine Optimisation) katika tabi ya upande wa mbele ndani ya sikirini ya Usanidi wa Wakidunia katika upande wa nyuma wa Joomla!. Kuna viendelezo vya mkono watatu ambavyo pia vinatengeza SEF URL wa Joomla!.<noinclude>[[Category:Glossary definitions/sw|{{PAGENAME}}]]</noinclude> | |||
<noinclude> | <noinclude> | ||
== Languages == | == Languages == | ||
<languages /></noinclude> | <languages /></noinclude> | ||
Latest revision as of 09:40, 12 April 2014
URL Unaofaa kwa Mashini ya Kutafuta (SEF URLs) ni neno la kawaida lililo fupishwa kama SEF URL au SEF kiufupi. Kawaida ni URL wa Joomla! utaonekana kama hivi:
http://www.wavutiwako.org/index.php?option=com_content&view=section&id=3&Itemid=41
Unaweza kuhariri na URL na kuonyesha kurasa ya HTML ya tuli kama hivi:
http://www.wavutiwako.org/faq.html
Tangu Joomla! 1.5, kuna mijengo katika uchaguzi kwa kuzalisha SEF URL. Haya yataweza kuwezesha kwa kubadilisha "Matayarisho ya SEO " (Search Engine Optimisation) katika tabi ya upande wa mbele ndani ya sikirini ya Usanidi wa Wakidunia katika upande wa nyuma wa Joomla!. Kuna viendelezo vya mkono watatu ambavyo pia vinatengeza SEF URL wa Joomla!.